TANZANIA YA KISWAHILI: MAKONDA ATANGAZA NEEMA YA VIWANJA/HOTUBA: RC MAKONDA ASHUSHA NEEMA KWA WATUMISHI WA UMMA DAR ES SALAAM HOTUBA YA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM KWA WATUMISHI WAKE NA WANANCHI WA MKOA ...
Monday, September 18, 2017
Wednesday, September 6, 2017
INIESTA ATAKA KUONDOKA BARCA

ANDRES INIESTA NA MKATABA MPYA
Mchezaji nguli wa barcelona ANDRES INIESTA amefikilia kutoongeza mkataba tena na magwiji wa Hispania Barcelona Hata hivyo,ANDRES INIESTA alionekana katika uwanja wa ndege wa El Prat kutoka Hispania siku ya Jumatano,Baada ya kuulizwa maswali na mwandishi Iniesta aliwaambia waandishi wa habari "hapana" wakati alipoulizwa kama angeweza kuthibitisha kuwa kama kuna makubaliano yoyote .Bartomeu...
NDOTO ZA CAMERRON KOMBE LA DUNIA

DALILI MBAYA KWA CAMEROON :URUSI 2018
Timu ya taifa ya soka ya Cameroon itamenyana na Nigeria baadaye Jumatatu jioni katika mechi muhimu ya kufuzu kucheza fainali ya kombe la dunia mwaka 2018 nchini Urusi.
Mchuano huu unachezwa jijini Yaounde. Wiki iliyopita, wakiwa ugenini, Cameroon walifungwa mabao 4-0 na wenyeji wao Nigeria.
Kuelekea katika mchuano huu, kocha wa Cameroon Hugo Broos ameonekana kukata tamaa na kusema kuwa hakuna matumaini...
TETESI ZA ULAYA:FIFA Vs. UINGEREZA

Fifa na michakato ya Kuiondoa Uingereza katika Kombe la Dunia
Hofu imeanza kutanda kwa mashabiki wa soka nchini humo jambo hili linaweza kuwatoa Uingereza katika michuano ijayo ya kombe la dunia nchini Russia ,Endapo bunge litapiga kura wiki ijayo basi itaiweka Uingereza katika hali ya sintofahamu juu ya ushiriki wao katika kombe la dunia la mwaka 2018.
Mgogoro kati ya bunge la Uingereza na FA unakuja baada ya baadhi ya viongozi wa zamani...